Native Bible

Job 5:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi.*

Job 5:17 in English

Job 5:17 · Berean Standard Bible

Blessed indeed is the man whom God corrects; so do not despise the discipline of the Almighty.*

Context

15Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao; huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu. 16Kwa hiyo maskini analo tarajio, nao udhalimu hufumba kinywa chake. 17“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi.* 18Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; huumiza, lakini mikono yake pia huponya. 19Kutoka majanga sita atakuokoa; naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.