Native Bible

Job 5:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; huumiza, lakini mikono yake pia huponya.

Job 5:18 in English

Job 5:18 · Berean Standard Bible

For He wounds, but He also binds; He strikes, but His hands also heal.

Context

16Kwa hiyo maskini analo tarajio, nao udhalimu hufumba kinywa chake. 17“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi.* 18Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; huumiza, lakini mikono yake pia huponya. 19Kutoka majanga sita atakuokoa; naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 20Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo, naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.