Ayubu 5:19
Job 5:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka majanga sita atakuokoa; naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe.
Job 5:19 in English
Job 5:19 · Berean Standard Bible
He will rescue you from six calamities; no harm will touch you in seven.
Context
17“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi;
kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi.* 18Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga;
huumiza, lakini mikono yake pia huponya. 19Kutoka majanga sita atakuokoa;
naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 20Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo,
naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga. 21Utalindwa kutokana na kichapo cha ulimi,
wala hutakuwa na sababu ya kuogopa maangamizi yatakapokujia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.