Ayubu 5:20
Job 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo, naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga.
Job 5:20 in English
Job 5:20 · Berean Standard Bible
In famine He will redeem you from death, and in battle from the stroke of the sword.
Context
18Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga;
huumiza, lakini mikono yake pia huponya. 19Kutoka majanga sita atakuokoa;
naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 20Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo,
naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga. 21Utalindwa kutokana na kichapo cha ulimi,
wala hutakuwa na sababu ya kuogopa maangamizi yatakapokujia. 22Utayacheka maangamizo na njaa,
wala hutakuwa na sababu ya kuwaogopa
wanyama wakali wa mwituni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.