Ayubu 5:22
Job 5:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utayacheka maangamizo na njaa, wala hutakuwa na sababu ya kuwaogopa wanyama wakali wa mwituni.
Job 5:22 in English
Job 5:22 · Berean Standard Bible
You will laugh at destruction and famine, and need not fear the beasts of the earth.
Context
20Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo,
naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga. 21Utalindwa kutokana na kichapo cha ulimi,
wala hutakuwa na sababu ya kuogopa maangamizi yatakapokujia. 22Utayacheka maangamizo na njaa,
wala hutakuwa na sababu ya kuwaogopa
wanyama wakali wa mwituni. 23Kwa kuwa utakuwa na agano na mawe ya mashamba,
nao wanyama wa mwitu watakuwa na amani nawe. 24Utajua ya kwamba hema lako li salama;
utahesabu mali zako wala hutakuta chochote kilichopungua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.