Ayubu 5:15
Job 5:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao; huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu.
Job 5:15 in English
Job 5:15 · Berean Standard Bible
He saves the needy from the sword in their mouth and from the clutches of the powerful.
Context
13Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao,
nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali. 14Giza huwapata wakati wa mchana;
wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku. 15Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao;
huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu. 16Kwa hiyo maskini analo tarajio,
nao udhalimu hufumba kinywa chake. 17“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi;
kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.