Native Bible

Job 40:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mifupa yake ni bomba za shaba, maungo yake ni kama fito za chuma.

Job 40:18 in English

Job 40:18 · Berean Standard Bible

His bones are tubes of bronze; his limbs are rods of iron.

Context

16Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake! 17Mkia wake hutikisika kama mwerezi; mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja. 18Mifupa yake ni bomba za shaba, maungo yake ni kama fito za chuma. 19Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu, lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake. 20Vilima humletea yeye mazao yake, nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.