Ayubu 40:17
Job 40:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mkia wake hutikisika kama mwerezi; mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja.
Job 40:17 in English
Job 40:17 · Berean Standard Bible
His tail sways like a cedar; the sinews of his thighs are tightly knit.
Context
15“Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi,*
niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe,
anayekula majani kama ngʼombe. 16Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake,
uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake! 17Mkia wake hutikisika kama mwerezi;
mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja. 18Mifupa yake ni bomba za shaba,
maungo yake ni kama fito za chuma. 19Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu,
lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.