Native Bible

Job 40:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu, lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake.

Job 40:19 in English

Job 40:19 · Berean Standard Bible

He is the foremost of God’s works;* only his Maker can draw the sword against him.

Context

17Mkia wake hutikisika kama mwerezi; mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja. 18Mifupa yake ni bomba za shaba, maungo yake ni kama fito za chuma. 19Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu, lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake. 20Vilima humletea yeye mazao yake, nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye. 21Hulala chini ya mimea ya yungiyungi, katika maficho ya matete kwenye matope.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.