Native Bible

Job 40:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vilima humletea yeye mazao yake, nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye.

Job 40:20 in English

Job 40:20 · Berean Standard Bible

The hills yield him their produce, while all the beasts of the field play nearby.

Context

18Mifupa yake ni bomba za shaba, maungo yake ni kama fito za chuma. 19Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu, lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake. 20Vilima humletea yeye mazao yake, nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye. 21Hulala chini ya mimea ya yungiyungi, katika maficho ya matete kwenye matope. 22Hiyo mimea ya yungiyungi humficha kwenye vivuli vyake; miti mirefu karibu na kijito humzunguka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.