Ayubu 40:21
Job 40:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hulala chini ya mimea ya yungiyungi, katika maficho ya matete kwenye matope.
Job 40:21 in English
Job 40:21 · Berean Standard Bible
He lies under the lotus plants,* hidden among the reeds of the marsh.
Context
19Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu,
lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake. 20Vilima humletea yeye mazao yake,
nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye. 21Hulala chini ya mimea ya yungiyungi,
katika maficho ya matete kwenye matope. 22Hiyo mimea ya yungiyungi humficha kwenye vivuli vyake;
miti mirefu karibu na kijito humzunguka. 23Wakati mto ufurikapo, yeye hapati mshtuko wa hofu;
yeye yu salama, hata kama Yordani ingefurika hadi kwenye kinywa chake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.