Ayubu 40:23
Job 40:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati mto ufurikapo, yeye hapati mshtuko wa hofu; yeye yu salama, hata kama Yordani ingefurika hadi kwenye kinywa chake.
Job 40:23 in English
Job 40:23 · Berean Standard Bible
Though the river rages, Behemoth is unafraid; he remains secure, though the Jordan surges to his mouth.
Context
21Hulala chini ya mimea ya yungiyungi,
katika maficho ya matete kwenye matope. 22Hiyo mimea ya yungiyungi humficha kwenye vivuli vyake;
miti mirefu karibu na kijito humzunguka. 23Wakati mto ufurikapo, yeye hapati mshtuko wa hofu;
yeye yu salama, hata kama Yordani ingefurika hadi kwenye kinywa chake. 24Je, mtu yeyote anaweza kumkamata yeye akiwa macho,
au kumnasa kwa mtego na kutoboa pua yake?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.