Ayubu 40:15
Job 40:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi,* niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe, anayekula majani kama ngʼombe.
Job 40:15 in English
Job 40:15 · Berean Standard Bible
Look at Behemoth, which I made along with you. He feeds on grass like an ox.
Context
13Wazike wote mavumbini pamoja;
wafunge nyuso zao kaburini. 14Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia
kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa. 15“Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi,*
niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe,
anayekula majani kama ngʼombe. 16Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake,
uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake! 17Mkia wake hutikisika kama mwerezi;
mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.