Ayubu 40:16
Job 40:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake!
Job 40:16 in English
Job 40:16 · Berean Standard Bible
See the strength of his loins and the power in the muscles of his belly.
Context
14Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia
kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa. 15“Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi,*
niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe,
anayekula majani kama ngʼombe. 16Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake,
uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake! 17Mkia wake hutikisika kama mwerezi;
mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja. 18Mifupa yake ni bomba za shaba,
maungo yake ni kama fito za chuma.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.