Native Bible

Job 39:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, nyati atakubali kukutumikia? Atakaa karibu na hori lako usiku?

Job 39:9 in English

Job 39:9 · Berean Standard Bible

Will the wild ox consent to serve you? Will he stay by your manger at night?

Context

7Huzicheka ghasia za mji, wala hasikii kelele za mwendesha gari. 8Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho na kutafuta kila kitu kibichi. 9“Je, nyati atakubali kukutumikia? Atakaa karibu na hori lako usiku? 10Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba? Je, atalima mabonde nyuma yako? 11Je, utamtumainia kwa ajili ya nguvu zake nyingi? Utamwachia yeye kazi zako nzito?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.