Ayubu 39:7
Job 39:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huzicheka ghasia za mji, wala hasikii kelele za mwendesha gari.
Job 39:7 in English
Job 39:7 · Berean Standard Bible
He scorns the tumult of the city and never hears the shouts of a driver.
Context
5“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru?
Ni nani aliyezifungua kamba zake? 6Nimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake,
nchi ya chumvi kuwa makao yake. 7Huzicheka ghasia za mji,
wala hasikii kelele za mwendesha gari. 8Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho
na kutafuta kila kitu kibichi. 9“Je, nyati atakubali kukutumikia?
Atakaa karibu na hori lako usiku?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.