Ayubu 39:5
Job 39:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? Ni nani aliyezifungua kamba zake?
Job 39:5 in English
Job 39:5 · Berean Standard Bible
Who set the wild donkey free? Who released the swift donkey from the harness?
Context
3Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao;
utungu wa kuzaa unakoma. 4Watoto wao hustawi na kuongezeka nguvu nyikani;
huenda zao wala hawarudi tena. 5“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru?
Ni nani aliyezifungua kamba zake? 6Nimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake,
nchi ya chumvi kuwa makao yake. 7Huzicheka ghasia za mji,
wala hasikii kelele za mwendesha gari.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.