Native Bible

Job 39:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; utungu wa kuzaa unakoma.

Job 39:3 in English

Job 39:3 · Berean Standard Bible

They crouch down and bring forth their young; they deliver their newborn.

Context

1“Je, wajua ni wakati gani mbuzi wa mlimani wanapozaa? Je, watambua ni wakati gani kulungu jike azaapo mtoto wake? 2Je, waweza kuhesabu miezi hadi wazaapo? Je, unajua majira yao ya kuzaa? 3Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; utungu wa kuzaa unakoma. 4Watoto wao hustawi na kuongezeka nguvu nyikani; huenda zao wala hawarudi tena. 5“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? Ni nani aliyezifungua kamba zake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.