Native Bible

Job 39:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, waweza kuhesabu miezi hadi wazaapo? Je, unajua majira yao ya kuzaa?

Job 39:2 in English

Job 39:2 · Berean Standard Bible

Can you count the months they are pregnant? Do you know the time they give birth?

Context

1“Je, wajua ni wakati gani mbuzi wa mlimani wanapozaa? Je, watambua ni wakati gani kulungu jike azaapo mtoto wake? 2Je, waweza kuhesabu miezi hadi wazaapo? Je, unajua majira yao ya kuzaa? 3Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; utungu wa kuzaa unakoma. 4Watoto wao hustawi na kuongezeka nguvu nyikani; huenda zao wala hawarudi tena.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.