Native Bible

Job 39:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, wajua ni wakati gani mbuzi wa mlimani wanapozaa? Je, watambua ni wakati gani kulungu jike azaapo mtoto wake?

Job 39:1 in English

Job 39:1 · Berean Standard Bible

“Do you know when mountain goats give birth? Have you watched the doe bear her fawn?

Context

1“Je, wajua ni wakati gani mbuzi wa mlimani wanapozaa? Je, watambua ni wakati gani kulungu jike azaapo mtoto wake? 2Je, waweza kuhesabu miezi hadi wazaapo? Je, unajua majira yao ya kuzaa? 3Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; utungu wa kuzaa unakoma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.