Native Bible

Job 39:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake, nchi ya chumvi kuwa makao yake.

Job 39:6 in English

Job 39:6 · Berean Standard Bible

I made the wilderness his home and the salt flats his dwelling.

Context

4Watoto wao hustawi na kuongezeka nguvu nyikani; huenda zao wala hawarudi tena. 5“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? Ni nani aliyezifungua kamba zake? 6Nimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake, nchi ya chumvi kuwa makao yake. 7Huzicheka ghasia za mji, wala hasikii kelele za mwendesha gari. 8Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho na kutafuta kila kitu kibichi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.