Native Bible

Job 39:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho na kutafuta kila kitu kibichi.

Job 39:8 in English

Job 39:8 · Berean Standard Bible

He roams the mountains for pasture, searching for any green thing.

Context

6Nimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake, nchi ya chumvi kuwa makao yake. 7Huzicheka ghasia za mji, wala hasikii kelele za mwendesha gari. 8Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho na kutafuta kila kitu kibichi. 9“Je, nyati atakubali kukutumikia? Atakaa karibu na hori lako usiku? 10Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba? Je, atalima mabonde nyuma yako?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.