Ayubu 39:10
Job 39:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba? Je, atalima mabonde nyuma yako?
Job 39:10 in English
Job 39:10 · Berean Standard Bible
Can you hold him to the furrow with a harness? Will he plow the valleys behind you?
Context
8Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho
na kutafuta kila kitu kibichi. 9“Je, nyati atakubali kukutumikia?
Atakaa karibu na hori lako usiku? 10Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba?
Je, atalima mabonde nyuma yako? 11Je, utamtumainia kwa ajili ya nguvu zake nyingi?
Utamwachia yeye kazi zako nzito? 12Utaweza kumwamini akuletee nafaka yako nyumbani
kutoka shambani na kuikusanya kwenye sakafu yako ya kupuria?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.