Native Bible

Job 39:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utaweza kumwamini akuletee nafaka yako nyumbani kutoka shambani na kuikusanya kwenye sakafu yako ya kupuria?

Job 39:12 in English

Job 39:12 · Berean Standard Bible

Can you trust him to bring in your grain and gather it to your threshing floor?

Context

10Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba? Je, atalima mabonde nyuma yako? 11Je, utamtumainia kwa ajili ya nguvu zake nyingi? Utamwachia yeye kazi zako nzito? 12Utaweza kumwamini akuletee nafaka yako nyumbani kutoka shambani na kuikusanya kwenye sakafu yako ya kupuria? 13“Mbuni hupigapiga mabawa yake kwa furaha, lakini hayawezi kulinganishwa na mabawa na manyoya ya korongo. 14Huyataga mayai yake juu ya ardhi, na kuyaacha yapate joto mchangani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.