Ayubu 39:11
Job 39:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, utamtumainia kwa ajili ya nguvu zake nyingi? Utamwachia yeye kazi zako nzito?
Job 39:11 in English
Job 39:11 · Berean Standard Bible
Can you rely on his great strength? Will you leave your hard work to him?
Context
9“Je, nyati atakubali kukutumikia?
Atakaa karibu na hori lako usiku? 10Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba?
Je, atalima mabonde nyuma yako? 11Je, utamtumainia kwa ajili ya nguvu zake nyingi?
Utamwachia yeye kazi zako nzito? 12Utaweza kumwamini akuletee nafaka yako nyumbani
kutoka shambani na kuikusanya kwenye sakafu yako ya kupuria? 13“Mbuni hupigapiga mabawa yake kwa furaha,
lakini hayawezi kulinganishwa
na mabawa na manyoya ya korongo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.