Native Bible

Job 38:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakati maji yawapo magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda?

Job 38:30 in English

Job 38:30 · Berean Standard Bible

when the waters become hard as stone and the surface of the deep is frozen?

Context

28Je, mvua ina baba? Ni nani baba azaaye matone ya umande? 29Barafu inatoka tumbo la nani? Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni, 30wakati maji yawapo magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda? 31“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Waweza kulegeza kamba za Orioni? 32Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake, au kuongoza Dubu na watoto wake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.