Native Bible

Job 38:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake, au kuongoza Dubu na watoto wake?

Job 38:32 in English

Job 38:32 · Berean Standard Bible

Can you bring forth the constellations in their seasons * or lead out the Bear * and her cubs?

Context

30wakati maji yawapo magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda? 31“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Waweza kulegeza kamba za Orioni? 32Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake, au kuongoza Dubu na watoto wake? 33Je, unajua sheria zinazotawala mbingu? Waweza kuweka utawala wa Mungu duniani? 34“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.