Ayubu 38:34
Job 38:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji?
Job 38:34 in English
Job 38:34 · Berean Standard Bible
Can you command the clouds so that a flood of water covers you?
Context
32Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake,
au kuongoza Dubu na watoto wake? 33Je, unajua sheria zinazotawala mbingu?
Waweza kuweka utawala wa Mungu duniani? 34“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni,
na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji? 35Je, wewe hutuma umeme wa radi kwenye njia zake?
Je, hutoa taarifa kwako kukuambia, ‘Sisi tuko hapa’? 36Ni nani aliyeujalia moyo hekima
au kuzipa akili ufahamu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.