Ayubu 38:36
Job 38:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni nani aliyeujalia moyo hekima au kuzipa akili ufahamu?
Job 38:36 in English
Job 38:36 · Berean Standard Bible
Who has put wisdom in the heart * or given understanding to the mind?
Context
34“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni,
na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji? 35Je, wewe hutuma umeme wa radi kwenye njia zake?
Je, hutoa taarifa kwako kukuambia, ‘Sisi tuko hapa’? 36Ni nani aliyeujalia moyo hekima
au kuzipa akili ufahamu? 37Nani mwenye hekima ya kuyahesabu mawingu?
Ni nani awezaye kuinamisha magudulia ya mbinguni 38wakati mavumbi yawapo magumu,
na mabonge ya udongo kushikamana pamoja?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.