Native Bible

Job 38:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, wewe hutuma umeme wa radi kwenye njia zake? Je, hutoa taarifa kwako kukuambia, ‘Sisi tuko hapa’?

Job 38:35 in English

Job 38:35 · Berean Standard Bible

Can you send the lightning bolts on their way? Do they report to you, ‘Here we are’?

Context

33Je, unajua sheria zinazotawala mbingu? Waweza kuweka utawala wa Mungu duniani? 34“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji? 35Je, wewe hutuma umeme wa radi kwenye njia zake? Je, hutoa taarifa kwako kukuambia, ‘Sisi tuko hapa’? 36Ni nani aliyeujalia moyo hekima au kuzipa akili ufahamu? 37Nani mwenye hekima ya kuyahesabu mawingu? Ni nani awezaye kuinamisha magudulia ya mbinguni

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.