Ayubu 38:31
Job 38:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Waweza kulegeza kamba za Orioni?
Job 38:31 in English
Job 38:31 · Berean Standard Bible
Can you bind the chains of the Pleiades or loosen the belt of Orion?
Context
29Barafu inatoka tumbo la nani?
Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni, 30wakati maji yawapo magumu kama jiwe,
wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda? 31“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia?
Waweza kulegeza kamba za Orioni? 32Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake,
au kuongoza Dubu na watoto wake? 33Je, unajua sheria zinazotawala mbingu?
Waweza kuweka utawala wa Mungu duniani?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.