Native Bible

Job 38:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Barafu inatoka tumbo la nani? Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni,

Job 38:29 in English

Job 38:29 · Berean Standard Bible

From whose womb does the ice emerge? Who gives birth to the frost from heaven,

Context

27ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, na majani yaanze kumea ndani yake? 28Je, mvua ina baba? Ni nani baba azaaye matone ya umande? 29Barafu inatoka tumbo la nani? Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni, 30wakati maji yawapo magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda? 31“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Waweza kulegeza kamba za Orioni?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.