Ayubu 38:28
Job 38:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, mvua ina baba? Ni nani baba azaaye matone ya umande?
Job 38:28 in English
Job 38:28 · Berean Standard Bible
Does the rain have a father? Who has begotten the drops of dew?
Context
26ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu,
jangwa lisilo na yeyote ndani yake, 27ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa,
na majani yaanze kumea ndani yake? 28Je, mvua ina baba?
Ni nani baba azaaye matone ya umande? 29Barafu inatoka tumbo la nani?
Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni, 30wakati maji yawapo magumu kama jiwe,
wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.