Native Bible

Job 38:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, jangwa lisilo na yeyote ndani yake,

Job 38:26 in English

Job 38:26 · Berean Standard Bible

to bring rain on a barren land, on a desert where no man lives,

Context

24Ni ipi njia iendayo mahali umeme wa radi unapotawanyiwa, au mahali upepo wa mashariki unaposambaziwa juu ya dunia? 25Ni nani aliyepasua mifereji kwa ajili ya maji mengi ya mvua yaendayo kasi na njia ya umeme wa radi, 26ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, jangwa lisilo na yeyote ndani yake, 27ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, na majani yaanze kumea ndani yake? 28Je, mvua ina baba? Ni nani baba azaaye matone ya umande?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.