Native Bible

Job 38:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, na majani yaanze kumea ndani yake?

Job 38:27 in English

Job 38:27 · Berean Standard Bible

to satisfy the parched wasteland and make it sprout with tender grass?

Context

25Ni nani aliyepasua mifereji kwa ajili ya maji mengi ya mvua yaendayo kasi na njia ya umeme wa radi, 26ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, jangwa lisilo na yeyote ndani yake, 27ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, na majani yaanze kumea ndani yake? 28Je, mvua ina baba? Ni nani baba azaaye matone ya umande? 29Barafu inatoka tumbo la nani? Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.