Native Bible

Job 38:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu.

Job 38:3 in English

Job 38:3 · Berean Standard Bible

Now brace yourself * like a man; I will question you, and you shall inform Me.*

Context

1Kisha Bwana akamjibu Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli. Akasema: 2“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa? 3Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu. 4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? Niambie, kama unafahamu. 5Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake? Hakika wewe unajua! Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.