Native Bible

Job 38:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake? Hakika wewe unajua! Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake?

Job 38:5 in English

Job 38:5 · Berean Standard Bible

Who fixed its measurements? Surely you know! Or who stretched a measuring line across it?

Context

3Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu. 4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? Niambie, kama unafahamu. 5Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake? Hakika wewe unajua! Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake? 6Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, 7wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.