Ayubu 38:6
Job 38:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni,
Job 38:6 in English
Job 38:6 · Berean Standard Bible
On what were its foundations set, or who laid its cornerstone,*
Context
4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia?
Niambie, kama unafahamu. 5Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake?
Hakika wewe unajua!
Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake? 6Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini,
au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, 7wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja,
na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha? 8“Ni nani aliyeifungia bahari milango
ilipopasuka kutoka tumbo,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.