Native Bible

Job 38:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ni nani aliyeifungia bahari milango ilipopasuka kutoka tumbo,

Job 38:8 in English

Job 38:8 · Berean Standard Bible

Who enclosed the sea behind doors when it burst forth from the womb,

Context

6Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, 7wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha? 8“Ni nani aliyeifungia bahari milango ilipopasuka kutoka tumbo, 9nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, na kuyafungia katika giza nene, 10nilipoamuru mipaka yake, na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.