Ayubu 38:9
Job 38:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, na kuyafungia katika giza nene,
Job 38:9 in English
Job 38:9 · Berean Standard Bible
when I made the clouds its garment and thick darkness its blanket,
Context
7wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja,
na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha? 8“Ni nani aliyeifungia bahari milango
ilipopasuka kutoka tumbo, 9nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake,
na kuyafungia katika giza nene, 10nilipoamuru mipaka yake,
na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake, 11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi;
hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.