Native Bible

Job 38:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nilipoamuru mipaka yake, na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake,

Job 38:10 in English

Job 38:10 · Berean Standard Bible

when I fixed its boundaries and set in place its bars and doors,

Context

8“Ni nani aliyeifungia bahari milango ilipopasuka kutoka tumbo, 9nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, na kuyafungia katika giza nene, 10nilipoamuru mipaka yake, na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake, 11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’? 12“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.