Native Bible

Job 38:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake,

Job 38:12 in English

Job 38:12 · Berean Standard Bible

In your days, have you commanded the morning or assigned the dawn its place,

Context

10nilipoamuru mipaka yake, na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake, 11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’? 12“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake, 13yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakungʼuta waovu waliomo? 14Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; sura yake hukaa kama ile ya vazi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.