Native Bible

Job 38:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakungʼuta waovu waliomo?

Job 38:13 in English

Job 38:13 · Berean Standard Bible

that it might spread to the ends of the earth and shake the wicked out of it?

Context

11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’? 12“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake, 13yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakungʼuta waovu waliomo? 14Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; sura yake hukaa kama ile ya vazi. 15Waovu huzuiliwa nuru yao, nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.