Native Bible

Job 38:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waovu huzuiliwa nuru yao, nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa.

Job 38:15 in English

Job 38:15 · Berean Standard Bible

Light is withheld from the wicked, and their upraised arm is broken.

Context

13yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakungʼuta waovu waliomo? 14Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; sura yake hukaa kama ile ya vazi. 15Waovu huzuiliwa nuru yao, nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa. 16“Je, umepata kufika kwenye chemchemi za bahari? Au kutembea mahali pa ndani pa vilindi? 17Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.