Ayubu 38:17
Job 38:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti?
Job 38:17 in English
Job 38:17 · Berean Standard Bible
Have the gates of death been revealed to you? Have you seen the gates of the shadow of death?
Context
15Waovu huzuiliwa nuru yao,
nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa. 16“Je, umepata kufika kwenye chemchemi za bahari?
Au kutembea mahali pa ndani pa vilindi? 17Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti?
Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti? 18Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia?
Niambie kama unajua haya yote. 19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi?
Nako maskani mwa giza ni wapi?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.