Native Bible

Job 38:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia? Niambie kama unajua haya yote.

Job 38:18 in English

Job 38:18 · Berean Standard Bible

Have you surveyed the extent of the earth? Tell Me, if you know all this.

Context

16“Je, umepata kufika kwenye chemchemi za bahari? Au kutembea mahali pa ndani pa vilindi? 17Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti? 18Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia? Niambie kama unajua haya yote. 19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi? 20Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.