Native Bible

Job 38:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi?

Job 38:19 in English

Job 38:19 · Berean Standard Bible

Where is the way to the home of light? Do you know where darkness resides,

Context

17Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti? 18Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia? Niambie kama unajua haya yote. 19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi? 20Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake? 21Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa! Kwani umeishi miaka mingi!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.