Native Bible

Job 38:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa! Kwani umeishi miaka mingi!

Job 38:21 in English

Job 38:21 · Berean Standard Bible

Surely you know, for you were already born! And the number of your days is great!

Context

19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi? 20Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake? 21Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa! Kwani umeishi miaka mingi! 22“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji, au kuona ghala za mvua ya mawe, 23ambazo nimeziweka akiba kwa ajili ya wakati wa taabu, na kwa ajili ya wakati wa vita na mapigano?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.