Native Bible

Job 38:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji, au kuona ghala za mvua ya mawe,

Job 38:22 in English

Job 38:22 · Berean Standard Bible

Have you entered the storehouses of snow or observed the storehouses of hail,

Context

20Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake? 21Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa! Kwani umeishi miaka mingi! 22“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji, au kuona ghala za mvua ya mawe, 23ambazo nimeziweka akiba kwa ajili ya wakati wa taabu, na kwa ajili ya wakati wa vita na mapigano? 24Ni ipi njia iendayo mahali umeme wa radi unapotawanyiwa, au mahali upepo wa mashariki unaposambaziwa juu ya dunia?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.