Ayubu 38:23
Job 38:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambazo nimeziweka akiba kwa ajili ya wakati wa taabu, na kwa ajili ya wakati wa vita na mapigano?
Job 38:23 in English
Job 38:23 · Berean Standard Bible
which I hold in reserve for times of trouble, for the day of war and battle?
Context
21Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa!
Kwani umeishi miaka mingi! 22“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji,
au kuona ghala za mvua ya mawe, 23ambazo nimeziweka akiba kwa ajili ya wakati wa taabu,
na kwa ajili ya wakati wa vita na mapigano? 24Ni ipi njia iendayo mahali umeme wa radi unapotawanyiwa,
au mahali upepo wa mashariki unaposambaziwa juu ya dunia? 25Ni nani aliyepasua mifereji kwa ajili ya maji mengi ya mvua yaendayo kasi
na njia ya umeme wa radi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.